Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Tuesday, May 28, 2013

R.I.P ALBERT MANGWEAR

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa BONGO FLEVA nchini TANZANIA,ALBERT MANGWEAR maarufu kama NGWEAR amefariki dunia huko nchini AFRIKA KUSINI na rafiki yake wa karibu amesema akuweza kuamka tena tangu alipolala jana.

Endelea kufuatilia blog hii kwa habari zaidi.....

No comments:

Post a Comment