Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Monday, May 13, 2013

ISHINDE YOUTH INITIATIVE ORGANIZATION

Mimi kama mwenyekiti wa ISHINDE YOUTH INITIATIVE ORGANIZATION nawakaribisha vijana wote katika kushiriki katika changamoto ambazo nchi yetu inakumbana nazo katika uhaba wa maji na haswa vujijini na katika kushiriki kuchangia ELIMU katika sehemu ambazo wanakabiliana na changamoto hii kubwa ya uhaba wa vitendea kazi pamoja na mazingira magumu ya kujisomea.
Muanzilishi wa ASASI hii isiyo ya kiserikali(NG'os) MR NOEL OMARY  yuko nchini GERMANY na week hii atapata nafasi ya kuongea na watu wa huko katika mji wa HAMBURG na kujaribu kuwaelezea changamoto tunazokabiliana nazo.


1 comment:

  1. Habari hii ni ya kweli kabisa 100% Niko ujerumani Karibu wiki ya pili najaribu kutafuta Support kutoka huku na pia wenzangu wako huko Tanzania wanafanya jitihada pia.....
    Noel

    ReplyDelete