Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Tuesday, April 9, 2013

MARGARET THATCHER DIED AT THE AGE OF 87.


Taifa kubwa la UINGELEZA limekubwa na pigo kubwa baada ya kuondokewa na kiongozi wao wa zamani waziri mkuu pekee aliyewahi kutokea katika historia ya nchi hizo bi MARGARET THATCHER maarufu kama IRON LADY aliyeiongoza nchi hiyo kwa miaka zaidi ya kumi kuanzia  1979-1990 na ndio alichangia kutoka kwa kiongozi wa SOUTH AFRICA gerezani bw. NELSON MANDELA rais mstaafu wa SOUTH AFRICA.
Mama huyo alikubwa na mauti jana usiku hotelini baada ya kupatwa na ugonjwa wa STROKE na aliugua pia kwa muda mrefu sana,Mazishi ya kiongozi huyo yanatarajiwa kufanyika jumatano ijayo 17th aplir 2013 huko jijini LONDON na taratibu za mazishi zimeanza.

No comments:

Post a Comment