Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Tuesday, May 7, 2013

TUNAIPELEKA WAPI NCHI YETU TANZANIA.

Tunaweza tukawa na mitazamo tofauti katika mambo yanayoendelea katika ardhi ya nchi yetu TANZANIA lakini mimi binafsi STEVEN SANDHU mtazamo wangu ni huu,kwanza kabisa nchi hii inakabiliana na tatizo kubwa la UDINI tatizo ambalo siku za hivi karibuni tumepata kujionea ushahidi wa kutosha kutokana na vitendo vinavoendelea vya uchomaji MAKANISA,mauaji ya mapdri na viongozi wa dini ya KIKRISTO....TATIZO NI NINI??!!
Serikali imelifumbia macho kabisa tatizo hili na sijasikia tamko kali lolote katika swala hili au maamuzi magumu yaliyofanywa dhidi ya vitendo hivi kutoka kwa viongozi wa ngazi za juu.
UZALENDO,UMOJA NA UPENDO umetoweka miongoni mwa WATANZANIA hakuna USHIRIKIANO WALA MSHIKAMANO katika wakati ambao majanga haya yanaendelea wakati huo huo WASANII na VIONGOZI wa RADIO ambao wana INFLUENCE katika jamii wanaendelea na migogoro ya maslahi yao binafsi na kusahau kabisa kwamba wao ndio wana nafasi ya kushikamana na kulikemea janga hili lililoikumba nchi yetu,wanawaza kuamka na kurushiana madongo tu katika MEDIA.
WAPI TUNAELEKEA WATANZANIA WENZANGU??!!
EHEH MUNGU IBARIKI AFRIKA EHEH MUNGU IBARIKI TANZANIA.






AMEEEEEN.


No comments:

Post a Comment