WelcomeWELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Wednesday, May 29, 2013

TAARIFA ZAIDI KUHUSU KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWEA.

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii ALBERT MANGWEA ameagwa leo nchini AFRIKA KUSINI na kesho mwili wa marehemu utawasili nchini tanzania kwa ajili ya taratibu za mazishi......
endelea kufuatilia hapa taarifa zaidi kuhusu ratiba za mazishi na chanzo kamili kilichopelekea mauti ya msanii wetu kipenzi........
m

No comments:

Post a Comment