Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Tuesday, April 9, 2013

KENYAN NEW PRESIDENT.

Hatimaye raisi wa nne wa taifa la KENYA ameapishwa rasmi leo jijini NAIROBI na bw.UHURU KENYATA amekuwa raisi wa nne wa jamhuri ya KENYA tangu taifa hilo lilipojipatia uhuru wake kutoka mikononi mwa waingereza,UHURU KENYATTA ni mtoto wa raisi wa kwanza wa KENYA bw JOMO KENYATTA,shughuli hizo zilihusisha pia kuapishwa kwa makamu wa raisi mpya mh. WILLIAM RUTO na pia sherehe hizo zilihudhuliwa na viongozi mbali mbali kutoka pembezoni mwa AFRICA na duniani kote akiwemo mzee wa SMILE mh. JAKAYA MRISHO KIKWETE na mkewe BI SALMA KIKWETE.


Raisi aliyetoka madarakani na aliyepewa jina la barabara hapa nchini juzi juzi bw MWAI KIBAKI alikabidhi IKULU kwa uongozi mpya baadaye baada ya sherehe za kuapishwa na pia mh. JAKAYA MRISHO KIKWETE alitoa speech maridadi katika viwanja vya IKULU jijini NAIROBI,kama iyo haitoshi basi raisi mpya  UHURU KENYATTA alihahidi laptop kwa kila mwanafunzi na mziwa mashuleni.

No comments:

Post a Comment