Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Monday, March 25, 2013

KAJALA URAIANI.

Hivi ndivyo msanii mwenzetu KAJALA MASANJA alivyoiaga mahakama ya KISUTU baada ya rafiki yake kipenzi na msanii mwenziye pia WEMA SEPETU alipotoa pesa kiasi kikubwa kwa ajili ya faini ya msanii huyo ambapo awali alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jera au faini isiyopungua mil13/= ...HONGERA SANA BI.WEMA CHA WOTE SEPETU.

No comments:

Post a Comment