Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Friday, March 29, 2013

JENGO LAANGUKA JIJINI DSM NA KUUWA WATU



Jengo la zaidi ya ghorofa kumi limeanguka jijini DAR ES SALAAM,maeneo ya morogoro road na indira ghandi CITY CENTRE na kuuwa watoto na kujerui watu zaidi ya 30 mpaka sasa na shughuli za uokoaji zinaendelea maana imetokea muda mfupi uliopita.

No comments:

Post a Comment