Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Sunday, March 24, 2013

NEW MOVIES.


Ile kampuni machachali kwa kuandaa movie mahili CLASSIC VISION mwaka huu imedhamilia kufanya mambo makubwa na kwa kuanzia tu mpaka sasa wemeshaandaa movie za ukweli kama EYES ON ME,LONELY na IDENTITY CARD.akiongea na blog hii mkurugenzi wa kampuni hiyo ISIKE SAMWEL amesema wamedhamilia sana kufanya mapinduzi katika kiwanda cha FILAMU TANZANIA na AFRICA KWA UJUMLA.

No comments:

Post a Comment