Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Wednesday, June 5, 2013

MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA UMEAGWA LEADERS CLUB

Haya ndio yaliyojili pale VIWANJA VYA LEADERS CLUB katika shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu ALBERT MANGWEA siku ya leo na tayari safari ya kuelekea mkoani MOROGORO kufuata taratibu za mazishi imechukua hatua...
Endelea kuwa hapa mtu wangu...




No comments:

Post a Comment