Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Tuesday, June 4, 2013

MWILI WA ALBERT MANGWEA UMEWASILI

Mwili wa msanii wa ALBERT MANGWEA umewasili katika airport ya JK NYERERE  kwa ajili ya taratibu za mazishi na ratiba ni mwili utaelekea kuhifadhiwa MUHIMBILI HOSP,na hapo kesho taratibu za kuaga zitafanyika na baadaye kesho kutwa mazishi yatafanyika huko nyumbani kwao MOROGORO baada ya taratibu za kuaga pia mkoani humo...
Endelea kuwa hapa kama uko mbali na utashindwa kuhudhuliwa mazishi haya mtu wangu wa ukweli....

Asante kwa watu wote waliojitokeza AIRPORT kumpokea msanii wetu.




No comments:

Post a Comment