Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Friday, May 3, 2013

TRIP TO ISHINDE AND EMUGULI VILLAGES.


Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika ZIARA yangu ya siku tano(5) katika vijiji vya ISHINDE na EMUGULI mkoani KILIMANJARO,SAME.Kubwa lililonipeleka huko ni kufanya tathimini ya matatizo na changamoto wanazokabiliana nazo wakazi wa huku haswa watoto na wanawake na inavyoonekana changamoto kubwa ni tatizo la uhaba wa MAJI na ELIMU.
Kwa niaba ya STEVEN SANDHU FOUNDATION na ISHINDE YOUTH INITIATIVE ORGANIZATION,viongozi wa NG'os hizo STEVEN SANDHU na NOEL KIPESHA wameahidi kusaidia sehemu hizo kwa kuchangia ujenzi wa darasa la chekechea huko EMUGULI na pia ujenzi wa kisima cha maji kijijini ISHINDE.

No comments:

Post a Comment