Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Sunday, June 2, 2013

MSIMU WA FASHION NDIO HUU

Katika kile ninachokiamini mimi na kinachoamikika machoni kwa watu wengi ni jinsi ambavyo tasnia ya MUSIKI ikifuatiwa na tasnia ya FILAMU,hizi sekta mbili zimekuwa sana katika kipindi hiki kuna mafanikio yanaonekana na kama ni mfuatiliaji mzuri uwezi pingana na mimi,Wasanii wa FILAMU na MUSIC kwa sasa wanaingiza pesa ila katika tasnia ya MITINDO ilionekana kudumaa kwa muda mrefu lakini mambo yamebadilika,WABUNIFU wa mavazi wameongezeka,WANAMITINDO wanazidi kuwa wengi na wengine wanavuka mipaka kwa wingi saizi.Ukiona ivyo TASNIA ya MITINDO TANZANIA INAKUWA ni muda wake sasa.
Mwanamitindo FAUSTINE SIMON ni moja kati ya wanamitindo wanaochipukia na  wanaofanya kazi nzuri na kuzidi kuipaisha tasnia ya mitindo TZ juu.

Mwezi huu ataonyesha kazi zake pale REGENCY PARK HOTEL,mtu wangu endelea kufuatilia blog yetu ya kijanja kwa habari zaidi za show hii,kujua tarehe,na ratiba kamili na utaratibu wote wa kuchagua models uenda ukawa mmoja wapo.

Asante.


No comments:

Post a Comment