Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Wednesday, May 23, 2012

DONNA SUMMER a.k.a Disco Queen afariki dunia.. ni msanii alie wika sana miaka ya 70. Amewahi kuchukua tuzo za Grammy mara tano. Na ndie ni msanii wa kwanza kutoa album 3 na zote kufika namba moja katika billbord charts.

No comments:

Post a Comment