Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Saturday, April 20, 2013

COMING SOON.

Kampuni ya TRIPLE S INC. ilipiga hatua kubwa sana mwaka jana kwa kufanikisha na kewezesha tamasha kubwa la DECEMBER LIKIZO FESTIVAL ambalo kwa mara ya kwanza lilizinduliwa na kufanyika mwaka jana (2012)  katika hoteli ya BELINDA OCEAN RESORT.Kampuni hii iko katika mikakati mbali mbali ya kulibolesha zaidi tamasha hilin ambalo litafanyika tena mwishoni mwa mwaka huu huku ukiwa msimu wake wa pili na litajulikana vile vile kwa jina la DECEMBER LIKIZO FESTIVAL 2013.
Tamasha hili kubwa kwa mwaka huu linakuja na muonekano mpya likijumuisha mambo mengi zaidi ambayo yameongezwa japokuwa mambo yanayopewa kipaumbele ni yale yale kama ya mwaka jana ambayo ni FILM,MUSIC,FASHION,EXHIBITION na ART.
Tunawashukuru sana wadau waliowezesha kusaidia kwa namna moja au nyingine tamasha hili mwaka jana wa 2012 ambao ulikuwa msimu wa kwanza kufanyika ambao ni STEVEN SANDHU FOUNDATION,A PLUS COMMUNICATION,NOT JUST MUSIC,BEST DELICIOUS CATERING,BONTA ARTS PRODUCTION na PIXEL BASE.na wengine wote wengi.
asanteni sana na mungu awazidishie na kuwabaliki saaaana.


No comments:

Post a Comment