Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Monday, November 26, 2012


Hili ni pigo kubwa sana kwa kiwanda cha filamu TANZANIA kuwapoteza waigizaji wawili ndani ya week moja,JOHN MAGANGA aliyefaliki kwa kukosewa kufanyiwa operation ya tumbo katika hospitali ya mwananyamala jijini DAR ES SALAAM.na SHARO MILLIONEA aliyefariki dakika chache zilizopita leo hii hii huko mkoani tanga kwa ajali mbaya ya gari lililoacha njia akiwa anaendesha mwenyewe na kufariki papo hapo.R.I.P BROTHERS.

No comments:

Post a Comment