Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Friday, November 30, 2012





TRIPLE S INC. inawaletea tamasha kubwa na la kipekee katika kipindi hichi cha LIKIZO wapenda burudani wote kaeni tayari kulipokea kwa mikono miwili,litafanyika katika kipindi cha mwezi DECEMBER mwishoni na kwa mwaka huu tumeamua kulifanya kwa kuanzia DAR ES SALAAM.lakini kwa miaka ijayo tutalifanya nchi nzima,kaeni tayari kwa DECEMBER LIKIZO FESTIVAL.tunaomba ushirikiano wenu wapendwa.mungu awabaliki sana.

No comments:

Post a Comment