Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Wednesday, May 30, 2012

TRIPLE S INC. ni kampuni ya burudani inayojishughulisha na maswala ya filamu,musiki,uandaaji wa matamasha na ndio waandaaji wa filamu mpya iitwayo "KISURA"ambayo iko katika maandalizi ya awali.lakini pia tayari wameshatengeneza filamu kama "FINAL DECISION" na "FORGIVE ME SON".kampuni hii pia ndio waandaaji wakuu wa tamasaha jipya la "LIKIZO FESTIVAL".

2 comments: