Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Saturday, December 1, 2012

HIV/AIDS DAY.



KWA NIABA YA TRIPLE S INC. na STEVEN SANDHU FOUNDATION NAPENDA KUWATAKIA SIKU NJEMA TUKIWA TUNAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI LAKINI NAPENDA KUWAKUMBUSHA NA KUWAASA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA MAANA UGONJWA HUU UMEENEA ZAIDI BARANI AFRIKA NA UNAENDELEA KUDIDIMIZA MAENDELEO YETU KWA KUWAANGAMIZA VIJANA WENGI AMBAO NDIO NGUVU KAZI KATIKA JAMII,LAZIMA TUWE MAKINI SANA NA TUJIEPUSHE NA TAMAA ZISIZO ZA MSINGI LAKINI PIA TUWE WEPESI WA KUTUMIA KINGA NA PIA KWENDA KATIKA VITUO VYA AFYA KUCHEKI AFYA ZETU MARA KWA MARA ILI TUWEZE KULITOKOMEZA JANGA ILI ZITO LINATUKABILI.ASANTENI SANA NA MUNGU AWABALIKI SANA.

No comments:

Post a Comment