UMEWADIA ULE WAKATI WA HOLIDAYS NA SASA WANAFUNZI NA WATU AMBAO WALIKUWA MBALI NA FAMILIA ZAO KWA SABABU ZA KIKAZI,MASOMO,LIKIZO AU HATA MAGONJWA NATUMAINI KATIKA KIPINDI HIKI WAMEHEREKEA WAJUMBANI MWAO KUJUMUIKA NA FAMILIA ZAO NA KUSHEREHEKEA KIPINDI HIKI MUHIMU NA CHA KIPEKEE KATIKA MWAKA.
MWEZI DECEMBER UMEJAA SIKUKUU ILA KATIKA KUKULETEA BURUDANI MPYA NA YA KIPEKEE BASI KAMPUNI YAKO YA BURUDANI TRIPLE S INC. WAMEKULETEA TAMASHA KUBWA LA DECEMBER LIKIZO FESTIVAL AMBALO LINAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA KABISA MWAKA HUU[2012]KWA MKOA WA DAR ES SALAAM LAKINI LITAKUA LIKIENDELEA KILA MWAKA KATIKA KIPINDI KAMA HIKI CHA DECEMBER NA MWAKANI LITAFANYIKA KATIKA MIKOA MINGINE MBALI MBALI YA TANZANIA.
MWAKA HUU LITAFANYIKA SIKU YA TAREHE 31_12_2012 PALE BELINDA OCEAN RESORT KUANZIA ASUBUHI SAA NNE MPAKA KUNAKUCHA NA TUNASHEREHEKEA MWAKA MPYA WA 2013 NA KUUAGA MWAKA 2012 KWA PAMOJA NA KWA STAILI YA KIPEKEE KABISA.KUTAKUWA NA BURUDANI MBALIMBALI KAMA FILAMU,MUSIC,FASHION,MAONYESHO YA KIBIASHARA[EXHIBITION] NA ART,LAKINI ACHILIA MBALI BURUDANI HIZO PIA KUTAKUWA NA SEMINA JUU YA MALARIA,UKIMWI NA MAMBO YA SANAA MBALIMBALI KAMA FILAMU NA MUSIC .
NJOO UWE SEHEMU YA HISTORIA SIKU IYO MTU WANGU NA UPATE KUJIFUNZA MAMBO MBALI MBALI NA KUELIMIKA PIA KWA STAILI YA BURUDANI.
ASANTENI SANAAAA.
USIKOSEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE......
No comments:
Post a Comment