"Triple S Incorporated Tanzania Limited By Steven Sandhu & Co"
Friday, August 19, 2016
Wednesday, December 31, 2014
Thursday, October 30, 2014
Tuesday, April 8, 2014
MAISHA PLUS
Msimu wa nne wa show ya ukweli MAISHA PLUS unaendelea kuruka TBC1 kila siku jumatatu mpaka jumapili saa nne kamili usiku huku shindano hilo kwa mwaka huu limepewa jina la MAISHA PLUS REKEBISHA.Washiriki wanaendelea kuREKEBISHA
kama kauli mbiu ya shindano inavyosema,tukumbuke mwaka huu nchi nne
zimeshiliki na mwisho wa shindano hili kijana mmoja atajinyakulia kitita
cha tsh25m na katika MAMA SHUJAA ambayo hivi karibuni
wamama mbalimbali wakulima wadogo wadogo wataungana na vijana wa maisha
plus kijijini na mmoja wao ataondoka na pembejeo za KILIMO zenye thamani ya tsh10m.
Thursday, April 3, 2014
hayawi hayawi...
Baadhi ya hizi sura zitaonekana sana katika kazi za FILAMU zinazokuja kutoka TRIPLE S INC. hivi karibuni,akiongea na blog hii meneja masoko wa kampuni iyo bwana ISACK JOHN amesema kampuni ya TRIPLE S INC. imejiandaa kikamilifu kuwaletea WATANZANIA burudani kemkem na za kutosha kutoka katika kampuni yao.Bw ISACK JOHN akuishia hapo bali aliwataja baadhi ya wasanii watakaoonekana sana katika FILAMU zao za hivi karibuni kwamba ni JUMA NKWABI,NANCY MANONGI,NANZA MBUJI,CHUCHU HANS,SULEIMAN BARAFU na wengine wengi bila kumsahau mkurugenzi wa kampuni iyo bw STEVEN SANDHU.
Wapenzi wa filamu kaeni tayari...
Wapenzi wa filamu kaeni tayari...
Subscribe to:
Posts (Atom)















