Welcome



WELCOME
TO THE WORLD OF ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL STARDOM


Thursday, June 13, 2013

MUHIMBILI HOSP:UHAKIKA LANGA KILEO AMEFARIKI

Habari kutoka MUHIMBILI HOSPITAL zimethibitisha kwamba ni ukweli msanii maarufu wa bongo fleva LANGA KILEO amefariki dunia muda mfupi uliopita alipokuwa amelazwa kutokana na malaria kali...
Blog hii uwa haitoi habari za uongo na siku zote tuko hapa kukujuza habari za ukweli na uhakika.

Endelea kuwa hapa kwa habari zaidi ya kifo cha msanii LANGA...


No comments:

Post a Comment